Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Aisee kumbe [emoji134][emoji134][emoji134] sikutegemea kama inaweza kuwepoacha uvivu
View attachment 1280895
itakuwa imewekwa na madameAisee kumbe [emoji134][emoji134][emoji134] sikutegemea kama inaweza kuwepo
Poaitakuwa imewekwa na madame
punguza kunywa kreti za pombe zenye ujazo wa chupa 30 hadi 50
Sawapunguza kunywa kreti za pombe zenye ujazo wa chupa 30 hadi 50
tunakesha na internet kama walinzi wa ikuluHivi Mlio SINGLE kama sahivi mnafanya nini?
ulishawahi kusikia maalim seif akafunguliwa mashitaka kwa miaka hii 20 iliopita?
CCM mwenzenu
tulia weweeeeeeeMbona mnamkabali sana huko?
Huyu mzee nilimtilia shaka muda mrefu ila huwa siwaelewi wazanzibar na imani yao dhidi yake
NaddySL Usimsikilize huyu Mpemba mwenye maneno mengi...japo kiukweli huwa sipendi kuitwa bro na mabinti kwa sababu huo ndiyo mwanzo wa kutiwa kwenye ubrozone au ufriendzone permanently. Ila unaweza kuniita tu ukitaka...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]humu ndani ana dada mmoja tu wa kutengeneza ambaye ni Kgothalo
ukimwita brother unampunguzia baraka za kutoka na under 18
Naona Wapemba weshamgeuka rais wao wa mioyo utafikiri wote hawajahamia ACT kwa tapeli wa Kigoma kumfuata [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
babu tuliaaaa 2020 ikulu tunaipeleka chake chake mukitaka musitake watu wa baraNaona Wapemba weshamgeuka rais wao wa mioyo utafikiri wote hawajahamia ACT kwa tapeli wa Kigoma kumfuata [emoji16][emoji16][emoji16]
masikini binti amekimbia baada ya jasusi kuu kukataa kuitwa buradhaaaaNaddySL Usimsikilize huyu Mpemba mwenye maneno mengi...japo kiukweli huwa sipendi kuitwa bro na mabinti kwa sababu huo ndiyo mwanzo wa kutiwa kwenye ubrozone au ufriendzone permanently. Ila unaweza kuniita tu ukitaka...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
ndiye mwanadamu pekee visiwani zenji mwenye uhakika wa kulala, kula, kutembea popote akiwa huru nafsini na kifikra.Mbona mnamkabali sana huko?
Huyu mzee nilimtilia shaka muda mrefu ila huwa siwaelewi wazanzibar na imani yao dhidi yake
mumeanza kufanya fiksi chama tawalaNaona Wapemba weshamgeuka rais wao wa mioyo utafikiri wote hawajahamia ACT kwa tapeli wa Kigoma kumfuata [emoji16][emoji16][emoji16]