Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nipo kamanda. Leo nasikia ulikuwa umejichimbia mahali ukihangaikia totoz mpya.

Kwa taarifa tu Carpa keshatwaliwa. Na Sammyluv naye keshatwaliwa. Itabidi uanze upya...​
Mkuu mbona taarifa zote alikuwa nazo mwanamke ninae mwamini humu. carbamazepine
carbamazepine alienda kuuguza mgonjwa Cole Williams tu hamna kikubwa.

Labda mjonjwa amechanganyikiwa na ugonjwa wake kwa carbamazepine.



Maana sijajua ni ugonjwa gani ila kwa taarifa za juu juu ni ukichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…