D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Kausha mpendwa ๐๐[emoji23][emoji23][emoji23] ntakuwa napita kimya kimya,kuna mambo mazuri
Hivi unajua kushabikia mpira ni dhambi? [emoji41][emoji41][emoji41]Ni wakati wa kujimwambafai[emoji23][emoji23][emoji23]
Livapuu naipenda toka damuni yaani[emoji7][emoji7][emoji7] na vile wanajua kunifurahisha wanashinda kila mechi
Hata biblia hairuhusu kumtukana shetani ujue...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona Leo umeamua uje na gia nyingine eeh??
Sasa ukiangalia kiroho zaidi,mpira si kipaumbele katika mambo ya kiroho.
Nimeshabikia timu yangu,nimeiponda Manchester na hii itasaidia kuifanya kuongeza juhudi.
Siwezi kuipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
HatariiNumbisa dear pole mwenzi mmoja ban zaidi ya 3
Kweli Khatwe ๐๐Hivi unajua kushabikia mpira ni dhambi? [emoji41][emoji41][emoji41]
Livapuu huu msimu wetu wa kunenepa.
Ni club inayofanya vizuri kwa wakati huu[emoji7][emoji7]
Mpendwa nishapata picha, bado kuiweka tuu ๐๐๐๐Hebu muacheni huyu mpemba
Humo kwenye Livapuu kuna mosarah ๐๐Bae wangu Gerrad alishastaafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Handsome Si mchezo,sema siku hizi amezeeka.
Waliobaki wote hakuna HB wa kumfikia
Picha ya naniMpendwa nishapata picha, bado kuiweka tuu ๐๐๐๐
naivutia mpaka half time ndio niiangalieManU va Tot kazi ipo. 1-0
Akija mwambieni nimelala[emoji125][emoji125][emoji125]Kweli Khatwe [emoji1][emoji1]
na likes ... anakuja...Wapi Numbisa
Man leo wako vizurinaivutia mpaka half time ndio niiangalie
Kwani Anne kabila gani ๐๐๐Akija mwambieni nimelala[emoji125][emoji125][emoji125]