Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha Bro,huwa una maneno ya ukweli na kuchoma sana,kama lile la Kuchapiwa Hakuepukiki..
Huoni watu wanavyoleta shuhuda zao huko maofisini wanavyokula wake za watu kimasihara bro? Ila na waaminifu wapo ukibahatisha...ila na wewe inabidi uwe mwaminifu vinginevyo Karma haitakuacha salama. Kama unachepuka huna haki ya kulalamika ukichapiwa!
 
Dah,ni kweli bro,,Karma haijawahi kumuacha mtu salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…