Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Kila nikitaka kuacha bia nawafikiria wakulima wa uwele kule Lujewa, malengo yao na familia zao.. Naenda mbele nawafikiria wafanyakazi wa viwanda vya bia pamoja na malengo yao mahouse girl na wafanyakazi wa majumbani mwao, wazazi wao, madereva wa makampuni wasambazaji na wahudumu wa bar wote wana mipango na malengo yao hivyo kitendo cha kuacha bia ni ukatili wa hali ya juu na kutowafikiria wengine. Sitaki kuwa sehemu ya matatizo yao kwa kuacha bia. MUHUDUMU LETE BIA MBILI*[emoji482][emoji481]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…