Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ngoja niweke hii
Fresh bro,uzima upo pande hizo??Niaje Bro,
Game ilkua hot knoumer...
Shem na mimi naomba[emoji125][emoji125][emoji125]Hata mimi nimeipata. Mpendwa yule ni motoooo tena wa kuotea mbali....
Alishanishinda[emoji23][emoji23]Huu mpambano[emoji23][emoji23][emoji23]
Rest In Peace Ally Yussuph Tigana
Chumila Chumilaaaa.... Namna gani tena pale?!!!Alicheza miaka gani huyu kwani? Huyu hakucheza enzi za akina Malota Soma, Nteze John na Edward Chumila? Andaeitini wewe ulikuwa hata na akili ya kufuatilia vizuri na kuelewa? [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah hapana bro,huyu Tigana hadi kipindi cha kina Salvatory Edward,Said Maurid SMG,amekipiga piaAlicheza miaka gani huyu kwani? Huyu hakucheza enzi za akina Malota Soma, Nteze John na Edward Chumila? Andaeitini wewe ulikuwa hata na akili ya kufuatilia vizuri na kuelewa? [emoji16][emoji16][emoji16]
Hehehehe[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kwanini aulize na wakati swali liko wazi?View attachment 1282742
Umeamua umsaidie syb au sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni uyole[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii siwezi.Mmecha vita ya mpira mmehamia vita ya mababu, mtaiweza hiyo?
Ankooo[emoji137][emoji137]Naomba (hata sikijui ninacho kuomba) na mimi nione Ankoo
[emoji23][emoji23][emoji23]mbona umekubali kushindwa mapema sana?Alishanishinda[emoji23][emoji23]
Umeamua kusaliti kwenu kisa ndoa?Hii ni uyole[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeamua umsaidie syb au sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo naogopa kupokonywa nywila[emoji23][emoji23]Umeamua kusaliti kwenu kisa ndoa?
Sifa za mgombea uenyekiti wa milele Chadema
• uwe umewahi kuhojiwa na Polisi
•uwe na keai mahakamani
•uwe umewahi kulala polisi au gerezani
Yaani kwa kifupi ni uwe KIBAKA- maana hizi ni sifa za Vibaka wazoefu