andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Naona huko kijijini umesha kabidhiwa kundi la [emoji233][emoji243][emoji243][emoji230][emoji230][emoji243][emoji233]Ankooo[emoji137][emoji137]
Mungu ni mwema, vipi huko? Nadhani bado haujaondoka. Wasalimie sana hao wazeeAnkoo naogopa kupokonywa nywila[emoji23][emoji23]
Kwema lakini??
Alicheza miaka gani huyu kwani? Huyu hakucheza enzi za akina Malota Soma, Nteze John na Edward Chumila? Andaeitini wewe ulikuwa hata na akili ya kufuatilia vizuri na kuelewa? [emoji16][emoji16][emoji16]
Huku kwema tunashukuru[emoji120][emoji120]Mungu ni mwema, vipi huko? Nadhani bado haujaondoka. Wasalimie sana hao wazee
Ngoja niweke hii
Natembea kwa madaha[emoji7][emoji108][emoji108][emoji108][emoji91][emoji91]
>Uwe na uhusiano na muasisi wa chama hicho Edwin Mtei
>Uwe umezaliwa kaskazini au umeoa/kuolewa huko
Njoo utembee kijijini kwetu hautajuta.Huku kwema tunashukuru[emoji120][emoji120]
Bado nipo sijaondoka japo pameshanichosha.
Sijui wewe na familia
Naunga mkono hoja πππ
Aaaaah usifanye hivoo buana ...
Mwenyeketi chama cha upinzani kwa hapa tulipo sifa za awali, halali kwake.
Lizarazu yupo.
Nimeshakutoa kwenye hii list[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@The Happiness umesikia?
Halafu eti umeshatumiwa txt ya"babe jiandae twende dinner au niachane na maisha yako?[emoji23][emoji23][emoji23]