moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
What is your current Movie.?Huku salama kabisa
Waprotestant Ni makanisa ya kkkt,kmt(Moravian),AIC, anglican.Mi hata najua basi?
Waprotestanti, Wapentekoste si wale wale tu ama?
[emoji120][emoji120]Jioni iwe njema kwetu wote..
Hahah mwisho nianze kufakamia k vant,konyagi niwe naona kama maziwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikuache nisijekukuchanganya bure
Sawasawa...Muda wa kufurahi na kucheza ngoma za wenyeji wa kihadzabeView attachment 1283651
Angel has fallen...umeiangalia?What is your current Movie.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mda wanavurugaa akili hawa viumbe,
Hii bado, ila napishana nayo sana kwenye pc [emoji23][emoji23]Angel has fallen...umeiangalia?
Hii week sina hata mzuka na movie aiseeh...What is your current Movie.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah mwisho nianze kufakamia k vant,konyagi niwe naona kama maziwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii bado, ila napishana nayo sana kwenye pc [emoji23][emoji23]