Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahahaha january kuitafuta february kuna shughuri pevu hapo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kawaida yao hawa. Akiwa kibonge anasema kimbaumbau. Akiwa kimbaumbau anasema kibonge. Akiwa andaeitini anasema mhenga.... Chukulia hii ni opoziti na ukidhibitisha vingine njoo unidai matenga mawili ya nyanya...[emoji16][emoji16][emoji16]
Umeona mdadavuo huo unaotokana na experience za Kihenga? Nimekosea au nimepiga mule mule?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani kweli wewe ni muhenga, na ushaanza kutuelewa ila unatoa siri sasa😕Umeona mdadavuo huo unaotokana na experience za Kihenga? Nimekosea au nimepiga mule mule?
Wapi huko?Sipo mjini, nipo vichakani huku
*Novemba Huwa Inakuwa Hivi*.
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
*DECEMBER*
1 2 4 5 6
14 15 16 17 18 24 25
26 27 30 31
*UJE JANUARY*
1 2 3
3.1 3.2 3.3 3.4 3.5 4 4.1
4.2 4.3 4.4 5 5.1 5.2 5.3
5.4 5.5 5.6 5.7 6 6.1 6.2
7 7.1 7.2 7.3 7.4 8 8.1
8.2 8.3 8.4 9 10 10.1 11.2
13 14 15 16 17 18 19
20 21 22 23 24 25 26
27 28 29 30 30.1 30.2 30.3
30.4 31
*Tumia Fedha Zako Kwa Uangalifu.Tumechoka Kuulizwa Mwezi January Una Siku Ngapi[emoji28][emoji28]*