Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna wa kupanic bro,[emoji23][emoji23] ndoto ni kawaida kwa kila binadamu[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji120][emoji120][emoji120]Akili kubwaView attachment 1286691swala muhimu
Anyeongtokea asubuhi mpaka muda huu bado naifikiria sentensi sahihi ya kukujibu mjinga wewe.
mara nyingi kuongea au kuandika sana mbele ya wenzako hupelekea taathira, si ajabu kujikuta baadhi ya nyakati unazungumza au kuandika vitu vya ajabu ajabu na vyenye kukera japokuwa hukudhamiria.
si umeona hotuba za muheshimiwa raisi na taathira zake, sometime yeeees and sometime nooooooo.
nimeona ni bora nimsaidie mkwepu junior kutoa likes.
halafu kesho wahuni nyie mujiandae na kipigo kizitoooooo kutoka kwa wazanzibar.
kwema bro?tokea asubuhi mpaka muda huu bado naifikiria sentensi sahihi ya kukujibu mjinga wewe.
mara nyingi kuongea au kuandika sana mbele ya wenzako hupelekea taathira, si ajabu kujikuta baadhi ya nyakati unazungumza au kuandika vitu vya ajabu ajabu na vyenye kukera japokuwa hukudhamiria.
si umeona hotuba za muheshimiwa raisi na taathira zake, sometime yeeees and sometime nooooooo.
nimeona ni bora nimsaidie mkwepu junior kutoa likes.
halafu kesho wahuni nyie mujiandae na kipigo kizitoooooo kutoka kwa wazanzibar.
Kiatu tu?na kombe pia,hawa wanafukuza mwizi kimya kimya
[emoji23][emoji23][emoji23] maneno hayo bro,maneno yanaumba[emoji23][emoji23]Kombe aaah wapi!![emoji849][emoji849]Kombe labda Man U[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] maneno hayo bro,maneno yanaumba[emoji23][emoji23]