moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hata kama hakuna umeme wiki nzima? Wanatumia uchawi gani? [emoji23][emoji23]
Mussa Musolla aliyeachiwa jana mkoani Njombe kwa msamaha wa Rais John Magufuli amekamatwa na Polisi Mkoa wa Njombe baada ya kuvunja nyumba ya kulala wageni, polisi wamethibitisha #MwananchiUpdates Mwananchi Newspapers on Twitter
Mzee mashaka na kanumba