The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji16][emoji16][emoji16] Na Mabaharia hawanaga huruma...
Kwema The don, heshima yako... Naimani kila kitu kinakwenda sawa huko..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kamanda. Siwezi kurudi huko tena [emoji16][emoji16][emoji16]Vipi kamanda umerudia ile michezo[emoji23][emoji23], uraibu au...[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Great....La umuhimu ni kuzipambanua hizo changamoto.Baharia akiwa na huruma ubaharia utakuwa ushamshinda...
Huku kwema TH. Ni changamoto tu za hapa na pale ila kuko salama
Hapana kamanda. Siwezi kurudi huko tena [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1288994
Walikuwa marafiki wakubwa hawa japo sina uhakika kama siasa za Ujamaa za mwalimu huyo mwenzake angezivumilia wakati CIA yake ilikuwa active kuwaondoa viongozi wa itikadi za kijamaa barani Afrika tena kwa gharama yo yote ile.
Wanaume tumeumbiwa mateso japo mengine ni ya kujitakia [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1289061
Hiyo chupa imeandikwaje msaada jamani