Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Baharia hata avunjike shingo sawa tu kwa kweli. Pini kali !!!View attachment 1289061
Hiyo chupa imeandikwaje msaada jamani
Baharia hata avunjike shingo sawa tu kwa kweli. Pini kali !!!View attachment 1289061
Hiyo chupa imeandikwaje msaada jamani
😂😂😂😂😂Wanaume tumeumbiwa mateso japo mengine ni ya kujitakia [emoji16][emoji16][emoji16]
Mchezaji wa kimataifa wa Nigeria Joseph Donatus Edafe, amefukuzwa toka timu ya ND Gorica ya Slovenia baada ya kumtia mimba mtoto wa rais wa timu hiyo miezi sita baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatuView attachment 1289090
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Katuwakilisha vizuri. Waafrika tuko vizuri kwenye hilo eneo