Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mpendwa nimekuona 😀😀😀
Wapi BradhaMpendwa nimekuona 😀😀😀
Pongezi kwa awamu ya tano
Wamfilisi nini wakati ni muflisi tayari? Pesa wanasheria wamekwangua zote na inavyoonekana hakuwekeza vizuri. Hana kitu labda wachukue loyalties za muziki wake japo nao watu hawataki hata kuusikia tena.
Hii mitandao hii dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]