Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani wote wana uwezo?
Si unajua kipindi hiki mabasi nauli hazishikiki kiasi hata wengine wanashindwa kusafiri.
Watapanda na zitajaa hizo, kuna malofa kibao huko[emoji23][emoji23]
Wachaga waache kuendesha ma Lexus na ma Range Rover yao kwenda nyumbani kuhiji waje wapande treni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo huyu
FB_IMG_1576088571145.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wote wana uwezo?
Si unajua kipindi hiki mabasi nauli hazishikiki kiasi hata wengine wanashindwa kusafiri.
Watapanda na zitajaa hizo, kuna malofa kibao huko[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nimetega mtego niwanase Wachaga, Wapare na wengineo wa kanda hiyo walioko kwenye uzi huu. Umeniharibia dah [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii ndio inaitwa Kulinda heshima ya Ukoo na bara kwa ujumla[emoji847][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni tunavyotukanwa na akina Trump na akina Putin kila leo kuwa Waafrika tunachoweza ni ngono, ufisadi na kuzaana hovyo hovyo? Huyu baharia hajatuangusha kabisa. Kalinda vizuri heshima ya kontinenti letu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom