moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Aliyeachiwa kwa msamaha adakwa Chalinze akiiba Ng'ombe :- Aliyeachiwa kwa msamaha adakwa kwa Wizi Chalinze | East Africa Television East Africa Radio on Twitter
Pale kwenye ile comment kalijisahau maana huku kanatusumbua kwamba ni kahenga nako.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ile post nilicheka sana,ana vituko huyu
Kuna mwenzake alikuja kumjibu sema siikumbuk ile ID,yeye akasema akiwa anafanya vile na ile mvua bhasi huwa anamaliza na haja ndogo kabsa halaf anamalizia na kuoga[emoji2][emoji2][emoji2]Pale kwenye ile comment kalijisahau maana huku kanatusumbua kwamba ni kahenga nako.
#Mwambieanipeheshimayangu bae wako