Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duu michango ya wadau inaburudisha asee[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sawa bro,Kanye katulizwa na Kim,na Kanye anamzimia sana yule dada hyo haina kificho since day one jamaa ameona ile sex tape ya Kim,jamaa anasema aliipa lazima amuweke ndani Kim
...na huo ndiyo uanaume sasa bro. Unaona demu anaburuzwa laivu unaapa lazima umuoe. Naamini hata ikitokea akachapiwa ataona sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
JF raha sana. Hata uje na hasira za aina gani utaishia kucheka tu. Nimekuta comments hata hazijafikia 20 lakini zote zinachekesha balaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…