Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Itakua au tumuweke kwenye mfano wa king davet maana alichomoa kila uzinduzi ila kanasa kwa wakishua mtoto TH mtoto nywele orijino mtoto kapanda hewani twiga anaomba pooooo,unaambiwa king akipigwa mkwara kidogo tu ananyweaaaa
Hahahah kuna ka ukweli hapa,maana hata nywila atakuwa anafichiwa,halaf bado wakishua anakuja anaanzisha hashtag,,kumbe anatuchora tu haha
 
Aisehhh huwa simuelewagi kuna nyuzi zake ukizisoma zina ukakasi sana...malezi lakini aliyoyapitia ndiyo yanampa shida..mitandao ipo tu lakini ni kuji control tu...shida kubwa ni malezi
Nyuzi zake zote mbovu,aina ya maisha anayofagilia sio kabisa. Just imagine eti nae anaitwa baba hilarious!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…