Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha madhambi kamanda[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
Madhambi hayaepukiki. Labda nije niteke mtu aliyeokoka siku moja anipe siri ya kutotenda dhambi. Ni changamoto sana. Yaani mtu unaweza kuamka na dhamira safi kabisa kuwa leo natenda mapenzi ya Mungu tu dhambi mwiko lakini gas station ya kwanza tu upate kahawa ya asubuhi mara paap bonge la msambwanda dah! Ni chalenji sana kamanda !!!
 
Hahahahaaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nachukua chupa yangu ya gahawa nikae pembeni nisikilize vizuri mada yenu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mada haikufika popote. Mpendwa alikimbia akidai eti Wasukuma wabishi sana hawezi kushindana nao [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mlete ushuhuda siyo maneno tu.
Nijuavyo mambo ya nyota 5 nyanda za juu kusini ilikuwaga mwaka jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Naunga mkono hoja [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…