Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wataalamu wa mambo ya usingizi wanashauri sana kutogusa simu usiku kwa sababu ukiamka halafu ukashika simu kurudi tena usingizini ni vigumu kwa sababu ubongo unakuwa tayari kwenye full mode. Tatizo letu mtu hata ukiamka tu kwenda kukojoa huyoo na simu yako hata kama ni usiku wa manane. Matokeo yake hatupati usingizi wa kutosha kitu ambacho ni hatari sana kiafya hasa huko mbele ya safari.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] siweziWataalamu wa mambo ya usingizi wanashauri sana kutogusa simu usiku kwa sababu ukiamka halafu ukashika simu kurudi tena usingizini ni vigumu kwa sababu ubongo unakuwa tayari kwenye full mode. Tatizo letu mtu hata ukiamka tu kwenda kukojoa huyoo na simu yako hata kama ni usiku wa manane. Matokeo yake hatupati usingizi wa kutosha kitu ambacho ni hatari sana kiafya hasa huko mbele ya safari.
Zima simu na usiiguse mpaka kukuche kama unaweza...
Basi usilalamike eti umekosa usingizi kumbe unajisababishia mwenyewe. Zima hiyo simu, fumba macho halafu anza kuhesabu moja mpaka mia. Ukifika mia anza upya tena mpaka utakaposinzia [emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]dah bro[emoji119][emoji119]Esta una mbwembwe dah [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1291814
Sijalalamika lakini [emoji3][emoji3][emoji3]Basi usilalamike eti umekosa usingizi kumbe unajisababishia mwenyewe. Zima hiyo simu, fumba macho halafu anza kuhesabu moja mpaka mia. Ukifika mia anza upya tena mpaka utakaposinzia [emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]akikitumia kwani inakuwajehahahahahahah, haya dada.
Sasa kwasababu umekunywa hiyo soda, ushauri kabla sijaenda kulala ni kwamba, ukiota umeona choo ndotoni, hakikisha haukitumii 😀😀😀
Hawa andaeitini hawa ni kwenda nao pole pole. Wakati mwingine inabidi uwape wanachotaka [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Likes zingine humu za kinafiki.