Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Kwani mombasa si wanajua kiswahili
Una nifahamu kwa sura mpendwa ukweli ni kwamba lile Jina nilitunga kichwani yule mtu simfahamu mpendwaIla mmefanana ni dada ako?
Una nifahamu kwa sura mpendwa ukweli ni kwamba lile Jina nilitunga kichwani yule mtu simfahamu mpendwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Wapare noma !!!
uliwahi kupiga picha na ndege ya wananchi hapo jana?Nimemiss historia za daemusin
Hata hivyo nishukuru maana umefanikiwa😀😀 just kiding
Hata hivyo nishukuru maana umefanikiwa
Mie mhudumu hapo,halafu mzee baba akatusifia kwa uzuri huku akimalizia chepeni kaziuliwahi kupiga picha na ndege ya wananchi hapo jana?
Umejuaje kama yupo Mombasa tuishie hapa mpendwa like ziendeleeKufanyaje
Yeye na Trump hawaivi...
na mimi pia nilikuwa miongoni mwa wajumbe wa NEC kutoka zenjibariii, nimefurahi sanaaa kupanda ndege kwa mara ya kwanza.Mie mhudumu hapo,halafu mzee baba akatusifia kwa uzuri huku akimalizia chepeni kazi