Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nmekuona upo vizuriUmejuaje kama yupo Mombasa tuishie hapa mpendwa like ziendelee
Nmekuona upo vizuri
Mzeee ulitusumbua sana na menu zako tuliandaa urojo wewe ukawa unataka janjamiyoni sijui tambi gani zile na vijiti vyakena mimi pia nilikuwa miongoni mwa wajumbe wa NEC kutoka zenjibariii, nimefurahi sanaaa kupanda ndege kwa mara ya kwanza.
nilishindwa kulala ndani ya ndege kwa sababu nakoroma kuliko simba hivyo basi nilikhofia nitawaudhi wajumbe wenzangu
😄😄😄Mpendwa hata sijui nieleze vipi nieleweke kwa hili.Nmekuona upo vizuri
nawaomba radhi kwa usumbufu wa kujitakia wenyewe,Mzeee ulitusumbua sana na menu zako tuliandaa urojo wewe ukawa unataka janjamiyoni sijui tambi gani zile na vijiti vyake
yes, anastahili mkataba wenye thamani kubwa kama huo aliopewa cause amefanya kazi nzuri sana hapo anfieldMjerumani huyo amesema kwamba amekuwa akihusika kwenye mazungumzo ya wachezaji wengi wanaokuja kwenye timu hiyo na hilo ndilo lililomfanya asifikirie kuachana na miamba hiyo, huku kukiwa na ofa kibao klabu nyingine zikimtaka akapige kazi.