Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kukiwa kumejanjaruka ina maana ndo hakuna Wasukuma? Umeanza lini kuchukia Wasukuma hivi? Mbona huko nyuma hukuwahi kujihusisha kabisa na hizi ishu za TRM? What happened? Did you go through a Sukumalized traumatic event or what? Jizazi....
🙇🙇🙇 sijui nini kimenikumba leo na hawa viumbe wa kisukuma
 
Hii ina maana gani? Mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya Manchester City utakuwa wa kuvutiwa kutokana na Guardiola kuwa na rekodi nzuri dhidi ya matajiri hao wa Madrid ambao hawakuwa na mwanzo mzuri wa msimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…