Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lyon itacheza dhidi ya Juventus ya Italia, Tottenham ambao msimu uliopita walicheza fainali ya michuano hiyo watacheza dhidi ya RB Leipzig ya Ujeruman, Napoli ya Italia itacheza dhidi ya FC Barcelona
oligarchy kama wewe unapanda daladala na bodaboda?Asante
wewe mzee hujui kama anatafsiri habari kwa gogoli tiransilator?Unatoaga wapi habari za mpira
Mwanaspoti.Unatoaga wapi habari za mpira
Hahahahaha hamna nacopy mwanaspoti ndugu ya gazeti la mwananchiwewe mzee hujui kama anatafsiri habari kwa gogoli tiransilator?
Mwanaspoti.
Google mwanaspoti utaipata
wewe mzee hujui kama anatafsiri habari kwa gogoli tiransilator?
kwani tovuti zao zinaruhusu kucopy taarifa?Hahahahaha hamna nacopy mwanaspoti ndugu ya gazeti la mwananchi
Pia bbc swahili nao wana habari za michezo na tetesi za sokaSawa sports lady
na za moon and sun pia tuletee tafadhali😀 transfar windo ikikaribia ntakua na mm naleta paper talk za sky
Haziruhusu kisheria ila tunaiba kiswahili swahili.kwani tovuti zao zinaruhusu kucopy taarifa?
mbona mtandao wao wa gazeti la mwananchi na the citizen huwezi copy kwa kutumia chrome browser
Bila kusahau application ya kijanja ya allfootballfreena za moon and sun pia tuletee tafadhali