Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
nakaribia kutimiza masaa 24 bila ya kulala.....
Gb 10 zitatutia wazimu sisi walevi wa korea.
nimegonga gb 10 zikaisha, muhudumuuuu hebu ongeza gb 2 nyengine naona asubuhi haijafika
wereva ndio nini jamani?Hivi ttcl ni lazima kutumia kwenye simu zao au hata kwenye wereva zetu inakubali?
Nimezitamani hizo GB 10
nitamsameheKuna wanasheria hapa? Kesi hiyo...
View attachment 1294261
Kwa misingi gani ya kisheria?nitamsamehe
jaji hapangiwiKwa misingi gani ya kisheria?
wereva ndio nini jamani?
najiunga kwenye simu then naconnect hotsport na computer....
πππduh!!! Likes zinaendeleaSi ajabu huyu alikuwa anakula likes...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1294269
saa 6 usiku mpaka saa 12 asubuhi....Ni Tecno
Hio gb 10 si ni ofa ya usiku pekee?kuanzia saa ngapi?
Sorry najua huwa unafafanua humu ika sasa tunashindwa kukariri