Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni Tecno

Hio gb 10 si ni ofa ya usiku pekee?kuanzia saa ngapi?

Sorry najua huwa unafafanua humu ika sasa tunashindwa kukariri
nikihitaji compeletd drama ndio najiunga kifurushi cha usiku...
siku za kawaida najiunga kifurusi cha GB 4 kwa shilingi 1000.
3.5 gb kuanzia saa 2 usiku hadi 12 asubuhi
500 mb kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 2 usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…