Miongoni mwa mashabiki waliosafiri katika safari hiyo ni David Hills (50), ambaye alikuwa na mkewe Joanna (49), alisema walijua safari ya kwenda Doha itakuwa wiki ijayo lakini baada ya kubadilishwa kwa ratiba na wao waliamua kubadili ratiba ya ndege ili kwenda kuishangilia timu ingawa waliingia gharama nyingine ya pesa katika kubadili tiketi.