Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
Kumbe ndiyo Maana tulifungwa..Katika mechi hiyo ya kombe la Carabao ambayo ilikuwa ya robo fainali Liverpool walicheza dhidi ya Aston Villa Jumanne usiku walikubali kufungwa mabao 5-0, na sababu ya kufungwa idadi hiyo ni kutokana na kikosi chao kupanga wachezaji wengi vijana waliokuwa chini ya umri wa miaka 23.
Liverpool, Chelsea na Tottenham ni miongoni mwa vilabu ambavyo vinamnyemelea mshambuliaji kinda wa Nigeria anayechezea klabu ya Lille ya Ufaransa Victor Osimhen, 20. (Sky Sports)