Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahaaa kabisaaa,mbinu zake zimeshtukiwa zamaaaniii
Man City wanaaminika kwamba wamefanya mawasiliano na Ligi Kuu England kuzungumzia kutokuwa na furaha juu ya ratiba yao
Liverpool imeshinda mara 16 kati ya 17 ilizocheza, huku pointi pekee ambazo wabeba hao wamezipoteza ilikuwa kwenye mechi yao sare dhidi ya Manchester United.
Maandalizi ya XmassView attachment 1302752
Ni upepo tu... Hii hali nayo itapita tu.Hahahaha anko nimejitahidi kuficha kwa mwaliko wa mbwembwe na draft za kuchora ila umenishtukia mapemaaaa
Vizuri sana.Mimi ni nani nimpinge mzee nikashinde bar tu View attachment 1303446
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka 2025 hukooo maaana upepo mkali huu
Hahahaaaa aiseee