Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo umenipongeza ..[emoji50] wakati unapiga vita kinjwaji ..ila baada ya mwaka mpya nawafuata wale wabaya wangu nimegundua msamaha ni kwa watu dhaifu


Ni payback time [emoji3]


Merry xmass mtumishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda wafuate,unachokitafuta utakipata.

Kuhusu pombe ulitaka nikwambie Nini Kama yote niliyokeambia hakuna hata moja ulilosikiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda wafuate,unachokitafuta utakipata.

Kuhusu pombe ulitaka nikwambie Nini Kama yote niliyokeambia hakuna hata moja ulilosikiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji53][emoji53][emoji32][emoji32][emoji51][emoji33][emoji33] mbona unaniogopesha tena ngoja nifikirie kabla ya kuwafuata

Ila mwakan nategemea kuwa mtu mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…