Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umewahi kuona?!
wewe sihitaji kiki hapa nisije nikageuka jina hapa wakaniita mganga bule .ila cha kukusaidia tu je umesha wahi kuona mtu anageuka kichuguu? mtu anakuwa popo? mtu anatembea huku haonekani?. mtu anapigwa na mawe,mapanga ila hafi? kama hujawahi kuona hata moja.basi tembea ujionee dunia imeyabeba mengi.
 
Dah wakupigwa hafi nmewahi vingine vigeni

Ila mbna watu wa hvyo hua hawafanikiwi kimaidha?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…