myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wakulima poleni,,,,,
Aisee...Manchester United inamfuatilia kiungo wa kati wa Birmingham City wa miaka 16 Muingereza Jude Bellingham. (Sun)
Ndio mkuu....tupe maelezo
Happy birthday to you Kaka mkubwaDecember 30 1985.
Desemba 30 mwaka 1985, kuna kitu chenye kumbukumbu ya aina yake kilinitokea.
Kinanifanye nikikimbuke mara kwa mara.
Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa majaaliwa yake[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app