Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Desemba 30 mwaka 1985, kuna kitu chenye kumbukumbu ya aina yake kilinitokea.
Kinanifanye nikikimbuke mara kwa mara.
Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa majaaliwa yake[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
  1. hongera kwa kutimiza miaka 34 ya ndoa
  2. hongera kwa kutimiza miaka 34 ya kuzaliwa
  3. hongera kwa kutimiza miaka 34 tokea upate mtoto wako wa kwanza
  4. hongera kwa kutimiza miaka 34 tokea uache kukojoa kitandani
πŸ‘©β€πŸš€πŸ‘¨β€πŸš€πŸ‘©β€βš–οΈπŸ€΅πŸ‘ΈπŸ§™β€β™‚οΈπŸ§™β€β™€οΈπŸ¦Ήβ€β™‚οΈπŸ§žβ€β™‚οΈπŸ§žβ€β™€οΈπŸ§œβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§œβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…