Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kocha huyo alichukua mikoba ya kuinoa Watford sio siku nyingi zilizopita, lakini akionyeshwa mlango wa kutokea baada ya kuinoa timu hiyo ndani ya siku 85 tu, hata miezi mitatu hajafika kwenye kiti cha ukocha cha timu hiyo ya Vicarage Road.