Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Arsenal watataka kushinda mechi yao ya kwanza baada ya kutoka patupu kwenye mechi tano zilizopita, lakini Man United wao watahitaji kushinda mechi yao ya tatu mfululizo kwenye Ligi Kuu England ili kufuzia nafasi kwenye Top Four.
 
Kocha Arteta atahitaji kushinda mechi yake ya kwanza baada ya mbili zilizopita moja ametoka sare na nyingine amechapwa, lakini Solskjaer macho yake yapo kwenye kutinga Top Four ili kurejea kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…