Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hiyo reaction ya makopa machoni ni yako kaka mkubwa πSio mimi bro.
Sawasawa,,,Kipindi hicho, Arsenal ilikuwa chini ya Unai Emery, lakini sasa wapo na ari mpya na nguvu mpya chini ya Arteta.
Kesho hiyo 20:30 tutakua pale Etihad[emoji23][emoji23][emoji23]Nimewamiss man city
Heheh! Baadae hiyoPost kuchaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kabisa kabisa ili kesho nimalizie tuKesho hiyo 20:30 tutakua pale Etihad
carbamazepine isikupite hiiHeheh! Baadae hiyo
ππ mwenyewe siunaona jinsi VAR inataka kumpa mtu ubingwa msimu huu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kabisa kabisa ili kesho nimalizie tu
Hahah! Naona unashtua wadaucarbamazepine isikupite hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anne hajui hio yeye furaha yake magoli hata la mkono ni goli. Chezeya VARππ mwenyewe siunaona jinsi VAR inataka kumpa mtu ubingwa msimu huu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kizuri nakula na wenzanguHahah! Naona unashtua wadau
Huyo mtoto wa Mbeya hajui mchezaji wa timu yake ata mmoja hivyo acha ashangilie tu udhamini wa VAR[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anne hajui hio yeye furaha yake magoli hata la mkono ni goli. Chezeya VAR
Akija embu unitag maana jana aliongea kwa uchungu sana eti atamroga aliyeniteka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kizuri nakula na wenzangu