Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sasa hivi natafuta ada[emoji23]Kwani ulishafanikiwa nguo za watoto za sikukuu?
Nadanganywa mimi jamani[emoji134][emoji134][emoji134]Babe, am here; still kicking! Ni wewe tu ndio unaweza kuificha nywila ya YEGO! 🙂 [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23]ankooo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwema ndugu yangu? Ni muda mrefu hatuja kutana humu ila Mungu ni mwema tupo vizuri.
Nataka nijitahidi nikeshe kuikwepa "last seen a year ago"
Naomba tuungane kukesha maana hata kivuruge wa Kizaramo atakuwepo kwenye mkesha. Ukuje na vigauni gauni, vimaua ua, viwaini waini ezi yuzyo...
A lovely day to you brother [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji8][emoji8][emoji8]carbamazepine nakumiss sana
Sio mimi bro.
Bradha unakumbuka ulivyolike kwa hasira hapa?View attachment 1308465
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo reaction ya makopa machoni ni yako kaka mkubwa [emoji3]
Marhabaaaacarbamazepine isikupite hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Akija embu unitag maana jana aliongea kwa uchungu sana eti atamroga aliyeniteka
Aiseeh[emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134]Nae chizi kama wewe tu [emoji3]
Nimeona mbona nimekupa na ma hug??Achana na hiyo post ya bibi harusi kwani hujaona hiyo nyingine niliyokumiss?
Hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha
#bringBackOurColeee