Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Raiola alitaka kuweka mtego huo akiweka dau la kumuuza, ili atakapotaka kufanya hivyo, iwe rahisi kutimiza wajibu wake baada ya sasa kukwama kwenye kumpiga bei Pogba kwenda Real Madrid kwa sababu kipengele kama hicho hakipo kwenye mkataba wa kiungo huyo wa kimataifa wa Ufaransa.
 
Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer- ambaye alimchezesha Haaland mechi yake ya kwanza ya soka la kulipwa huko Molde kipindi hicho akiwa na umri wa miaka 16 alihitaji sana huduma yake na alikwenda Salzburg kuonana naye mapema mwezi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…