carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Happy new year yego.Jamani, au unataka nikuwekee kale ka mwimbo ka Leonard Richard, a.k.a Lionel Richie kanakoitwa; “The Only One You Stole My Heart Away” ndio uamini? [emoji2][emoji2][emoji2]... Happy New Year bana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nikutambulishe kwa vyakula vigeni Achana na Pilau
Bebe jana ulifungiwa wapi??[emoji849][emoji849]Happy New year The don.....Asante kwa moyo wako wa upendo pamoja ujumbe mzuri kwetu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uchoyo[emoji23][emoji23]Karibuni kwangu ni kule kayenze juu,panda gari za igombe pita kilimahewa,iloganzala,sabasaba etc pandisha mibuyuni misunguni bapayonaza ukisikia harufu ya pilau basi ni hapo hapo karibuni sana.
NB kila mtu aje na mboga yake
Daah! So bad
Asante sana mkuuKila aliechangia uzi wetu. Baraka ziwe nae
Karibu bila kutaja location?[emoji23][emoji23][emoji23]Karibu sana
Oooh[emoji3][emoji3] hapana bro... yule jamaa akimalizaga stori zake anasemaga anatamfa mchomaji mzuri wa nyama
Amin bro!Happy new Year to All UNITED FANS around here!!
GOD bless U with so much passion and Love.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeachiwa?Wakuu Wakuu habari za wakati huu
Embu niache basi 😀Karibu bila kutaja location?[emoji23][emoji23][emoji23]
#aundoajepiemu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa ila kuongelea mpira ni marufuku
Ni jirani na kule kwenye minazi mingi mingi?kwa waarabu waarabuKaribuni kwangu ni kule kayenze juu,panda gari za igombe pita kilimahewa,iloganzala,sabasaba etc pandisha mibuyuni misunguni bapayonaza ukisikia harufu ya pilau basi ni hapo hapo karibuni sana.
NB kila mtu aje na mboga yake
Poa sanaPole na hongera Ahsante ndio jibu lao (Asante sana)
Mambo yako vipi mrembo wetu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Embu niache basi [emoji3]
Location nimetoa tayari
Daah! So bad
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli sina Majibu kwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]