Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii picha ya mwisho maskini kanalia inasikitisha Mungu amsaidie wazazi wake wajitokeze
 
Huyu mama sijui huyu mtoto kamkwapua wapi, dah!
 
Aisee huyu mama dishi limeyumba waziwazi kabsa,, wazazi wa huyu mtoto watakuwa tumbo joto huko walipo, Mungu afanye wepesi wazaz wake wapatikane haraka iwezekanavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…