Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Kuna ile ya tajiri wa sumbawanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna visa vinachekesha
Kuna ile ya jamaa wanaotaka utajiri wakaenda oga makaburini wakashikwa matako,akiii nilicheka kama chizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule uzi unafurahisha sanaKuna ile ya tajiri wa sumbawanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huo Uzi ni comedy tosha
Sent using Jamii Forums mobile app