capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hatari sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi polisi wetu wanavuta bangi ama....?TABORA: POLISI KUANZA MSAKO WA WANAOTAKA KUJINYONGA
- Kamanda wa Polisi mkoani humo, Barnabas Mwakalukwa amesema kufuatia matukio ya watu wawili kujinyonga, mwaka huu wataanza msako kuwabaini wanaotaka kujinyonga na kuwapeleka Mahakamani
#JFLeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi polisi wetu wanavuta bangi ama....?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro timu yako ina homa ya vipindi.
Siku unayotarajia ipate ushindi inapoteza,
Mechi ambayo unadhani itapoteza inashinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee#HABARI Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amepiga marufuku sherehe za wanafunzi wanaohitimu darasa la 7, zinazofanywa na wazazi nyumbani, badala yake itafanyika sherehe 1 tu katika Shule husika na ambayo itawajumuisha ndugu wote. View attachment 1311062
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!TABORA: POLISI KUANZA MSAKO WA WANAOTAKA KUJINYONGA
- Kamanda wa Polisi mkoani humo, Barnabas Mwakalukwa amesema kufuatia matukio ya watu wawili kujinyonga, mwaka huu wataanza msako kuwabaini wanaotaka kujinyonga na kuwapeleka Mahakamani
#JFLeo
Sent using Jamii Forums mobile app