capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Bro,
Tafuta jimbo ugombee aisee, tunahitaji mindsets tofauti...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]#HABARI Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amepiga marufuku sherehe za wanafunzi wanaohitimu darasa la 7, zinazofanywa na wazazi nyumbani, badala yake itafanyika sherehe 1 tu katika Shule husika na ambayo itawajumuisha ndugu wote. View attachment 1311062
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] kabisa, hivi hawa viongozi wana shida gani?Yaani mimi nimeishia kucheka tu kwakweli.
Watumishi wanaishi maisha magumu,wana madeni.
Stahiki zao hawajalipwa yaani shida tu.
Hii kauli ni ya kipuuzi kama kauli nyingine[emoji706][emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Viongoz hawa sijui wanatumia nini kufikiria.Umeona eeeh,
Nilikua najiuliza hivyo hivyo.Mwaka unaanza kwa matamko ya ajabu ajabu.
Yaani hakuna hata kimoja ambacho wamefanyiwa.Hivi nyongeza za mishahara walishapewa?
Yale madaraja/vyeo wamepandishwa?
Mafao yao tayari hamna uhakika wa kuyapata ...
Kuna mambo mengine ni bora ukae kimya kuliko kufanya kazi za dohani!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah leo ni vioja tu'Watanzania fugeni wanyamapori' - Rais MagufuliView attachment 1311184
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha, yale yajayo yaliyotabiriwa ndio haya sasaHawa ndio wale #faiza anasema walikwenda shule kusomea ujinga[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]'Watanzania fugeni wanyamapori' - Rais MagufuliView attachment 1311184
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeeee!!!STAA, Robin van Persie amechukizwa na kocha Ole Gunnar Solskjaer baada ya kuonekana akiwa anatabasamu mwisho wa mchezo ambao umeshuhudia kikosi chake cha Manchester United kikichapwa 2-0 na Arsenal uwanjani Emirates juzi Jumatano.
π π πKocha mpya wa Arsenal, Mikel Arteta alipata ushindi wake wa kwanza katika kikosi hicho alipoangusha kipigo safi kwa Man United katika siku ya kwanza ya kuanza Mwaka Mpya.