Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Poa bro ukinionea S msalimie sanaHuku kwema pia bro, tunamshukuru Mungu
πππ acha kuchochea basiHeeeee!![emoji134][emoji134][emoji134]
#masikiniwizowangujamani[emoji124][emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante shem...Hii code ni sawa na emoji ya kucheka shem
Tunaitumia kama mbadala wa emoji ya kucheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeanza. Mmeshindwa kuwafunga pamoja na mahela yenu mengi. Timu ya wananchi hiyo [emoji123][emoji123][emoji123]Yanga baada ya kupigwa mbili to nil. Wakawahi fasta kwenda kutoa sadakA kwa mchungaji abadili unabii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali tumepona na makelele ya mashabiki wa Simba. Nilimuona Manara anachimba mkwara kuwa Yanga hata kutoka sare leo itakuwa mojawapo ya maajabu makubwa sana ya mwaka huu...
πππAty kamba ladies are so energetic during sex.....they start moaning as soon as they remove shoes[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!!