Man United wako tayari kutoa kiasi cha Pauni million 45 ili kumnasa nyota wa Leicester City James Maddson na watamtoa Jesse Lingard ili kuweza kufanikisha usajili huo.
(Sunday Mirror)
Inter Milan wanataka kumsajili kiungo wa Spurs Christian Eriksen kwa dau la pauni million 20 katika dirisha hili la januari licha ya nyota huyo atakuwa huru kuondoka bure mwishoni mwa msimu. (Sun on Sunday)

Wagonga nyundo wa London, West ham wanatarajia kukutana na viongozi Wa Benfica wikiijayo ili kukamilisha dili ya usajili wa mkopo wa kiungo Gedson Fernande's mwenye miaka 20. (Record, via Daily Star Sunday)
Bosi wa Leicester City Brendan Rodgers hajathibitisha taarifa za kukubali au kukataa kuwa timu yake itamsajili beki wa Juventus Merih Demirah. (Mail on Sunday
Tottenham wanamatumaini mshambuliaji wale kinda wa Miaka 17 Troy Parrot atasalia kwenye klabuni hapo kwa kwa kusaini mkataba mpya wa muda mrefu mwezi ujao.(Lancashire Telegraph)