General Akudo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 560
- 829
Hiyo idara ameshachukua mfilisti jirani. Anajaribu jaribu sometimes ila kwa kweli bado. Inabidi afokasi zaidi na awe komitedi na kazi yake [emoji16][emoji16]Wapi SHIMBA YA BUYENZE
Wapi mambo Yale ya mwaka mpya....
Marahaba sis. Huku poa kabisa. Natumani we na wapendwa wako mu salama salimini na kwamba mwaka mpya unaendelea vyema. Tumshukuru Mungu dadangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]It is well with my soul Bro.....shikamoo kaka angu
Vipi habari za huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
That's rule number one...Customer is king ...Always [emoji16][emoji16][emoji16]