Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
👤:Quavo 🎵:Way (Feat. Tyga) ➣Released:January 2020
➣Type:#Single
➣Genre:#Hiphop 📢
Channel:New Releases™
➣Type:#Single
➣Genre:#Hiphop 📢
Channel:New Releases™
😀😀😀 hamna hata.Kukosekana kwako kule jana usiku sipalipoa sana bro?
Shwari sana, vipi hapo?
Amini bro, jana nimechungulia nilikuta utulivu mkubwa nikajua tu sababu ni nini😀😀😀 hamna hata.
Huku kwema pia, unaadimika ujue bro😀😀
Nilikua nalisubiria jibu pendwa😀😀😀😀Amini bro, jana nimechungulia nilikuta utulivu mkubwa nikajua tu sababu ni nini
Hahah! Jibu la hapa linajulikana kabisa bro
Hahah! Hilo siku hizi ni given bro wala sitaki shida 😁😁Nilikua nalisubiria jibu pendwa😀😀😀😀
Haya bro 😀Hahah! Hilo siku hizi ni given bro wala sitaki shida 😁😁
Vipi mtu mpya siku hizi kishazoea Ulimwengu?Haya bro 😀
Mwanaume wa kanda ya ziwa sijui mnajikutaga nyie kina nani [emoji16][emoji16][emoji16] we huogopi kufa?Waoga !!!
View attachment 1313906
Amini bro, jana nimechungulia nilikuta utulivu mkubwa nikajua tu sababu ni nini
Hahah! Jibu la hapa linajulikana kabisa bro
Nilikua nalisubiria jibu pendwa😀😀😀😀
Kiasi chake, bado ana mambo mengi sana ya kujifunza...Vipi mtu mpya siku hizi kishazoea Ulimwengu?