Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hiyo ina maana kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Man United, Ed Woodward atalazimika kumuuza Pogba ama Januari hii au mwisho wa msimu ili kupata pesa nzuri huku mchezaji mwenyewe akiamini bado ana kiwango cha dunia