Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Man United na Pogba, wanaonekana kufikia kwenye hatua ya kila mmoja kuchukua njia zake. Wachezaji wenzake huko Man United, wanadhani Pogba hana tena nafasi ya kucheza kwenye timu hiyo, anayodhani timu haina tena uwezo wa kushindana.
 
Gazeti la The Daily Star, linaripoti piga au, Pogba hataendelea kubaki Man United itakapofika mwishoni mwa msimu kama timu hiyo haitakuwa imemuuza kwenye dirisha hili la Januari. Kwa muda mrefu, Pogba amekuwa nje ya uwanja akidaiwa kusumbuliwa na maumivu ya enka.
 
Back
Top Bottom