Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huku pia kama huko tuShwari kabisa very refreshing
Mzima huko?
Wewe bhana subiri muda wako ukifika tutajadili sana haya mambo ila maliza masomo kwanzaKabisaaaa kama wa kwangu sema saiv nimeongea na mwalimu mkuu asamehe ada kidogo 555555
Huku busisi umefika lini?Huku pia kama huko tu
#Tuposehemumojanini?
555555 jamaniiiWewe bhana subiri muda wako ukifika tutajadili sana haya mambo ila maliza masomo kwanza
Hutulii sehemu moja, ushafika Busisi tayari?Huku busisi umefika lini?
Hahaahaha maisha mafupi haya kutulia sehemu mojaHutulii sehemu moja, ushafika Busisi tayari?
Ni kweli aisee.Nikweli bro na huu ndio muda wa kukaanae karibu zaidi ili apate maadili+
Mzima kabisa
#sijuinisememdogowanguau?